Monday, April 25, 2016

Wananchi Wilayani Bukombe kunufaika na Ujenzi wa Mgodi mpya na wa kisasa wa Nsagali Goldmine utakaoajiri vibarua 700 na waajiriwa wa kudumu 200.

Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira ilipotembelea Ujenzi wa Mgodi mpya na wa kisasa unaomilikiwa na Nsagali Gold mine utakaonufaisha wanabukombe.

 Baadhi ya vibarua walioajiriwa katika Ujenzi wa Mgodi huo mpya na wa kisasa Unaoendelea katika Wilaya yetu Vijana wanakamata fursa.

vifaa vya Ujenzi huo mpya wa Mgodi Nsagali Goldmine.






1 comment: